Bungetz Web Site

  Tanzania's Parliament was robbed of its web site by some unscrupulous people hiding in Canada, who then used it for selling pornography. This was really an insult to Tanzania and, from December 2002 to June 2003, many people were scratching their heads on how to solve the problem. The website has now been re-possessed by a gentleman from Germany who is doing business with Tanzania, Mr. Eberhard Blocher, the Director of the East African Home Pages (Deutschland) KG the owner of www.ourtanzania.com (see further below). Therefore, please be informed that www.bungetz.org is now back to normal and we are very thankful to Mr Eberhard Blocher for his successful efforts in taking away the domain from those bad people and for restoring the domain to provide respectable content.
You are now welcome to visit the Tanzanian Parliament's official website at
www.parliament.go.tz

Bunge la Tanzania lilinyang'anywa tovuti yake wahuni waliokuwa wanajificha Kanada, walioitumia kuendeshea biashara ya ngono. Hii ilikuwa ni kufuru na kejeri kwa Tanzania na, toka Desemba 2002 hadi Juni 2003, watu wengi walikuwa wanakuna vichwa vyao juu ya jinsi ya kutatua tatizo hilo. Tovuti
hiyo sasa imechukuliwa kwa nguvu na bwana mmoja wa kutoka Ujerumani anayefanya biashara na Tanzania, Ndg. Eberhard Blocher ambae ni Mkurugenzi wa Kampuni ya East African Home Pages (Deutschland) KG inayomiliki tovuti ya www.ourtanzania.com (ona chini zaidi). Hivyo, tafadhali pokea taarifa kuwa www.bungetz.org sasa imerudia katika hali ya kawaida na tunamshukuru sana Ndg. Eberhard Blocher kwa juhudi zake zilizofanikiwa kuirejesha tovuti hii kutoka kwa wahuni wale ili iweze kurudishwa kwenye matumizi ya kistaarabu.
Unakaribishwa sasa kuitembelea tovuti rasmi ya Bunge la Tanzania katika anwani ya

www.parliament.go.tzJulius Nyerere speaks in Tanzania's Parliament, 1975

For more information about the company East African Home Pages
please click a link below
http://www.eahp.com   http://www.ourtanzania.com

Kwa taarifa zaidi Kuhusu Kampuni ya East African Home Pages
tafadhari bonyeza hapo chini
http://www.eahp.com   http://www.ourtanzania.com